Accueil Taarifa ya Habari Taarifa ya Habari ya Asubui 26-05-2021

Taarifa ya Habari ya Asubui 26-05-2021

0
282

Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Chérubin Okende ameamuru tena kufungwa kwa uwanja wa ndege wa Kavumu huko Kivu Kusini.
Baada ya uharibifu uliosababishwa na mlipuko wa volkano ya Nyiragongo huko Goma huko Kivu Kaskazini, gesi ya methane iliyokusanywa katika Ziwa Kivu inajionesha kama hatari kubwa ya pili kwa Wakivusi.

Sikiliza Jarida kwenye Televisheni ya Redio Ngoma ya Kivu (RTNK). Ripoti, safu, wageni na habari za kila siku huko Kivu Kusini.

NO COMMENTS

LAISSER UNE RÉPONSE

Please enter your comment!
Please enter your name here