Taarifa ya habari la kiswahili la April 28 2021 – Radio Télévision Ngoma ya Kivu
Makabidhiano na kuanza tena kati ya mawaziri wakuu wa zamani Sylvestre Ilunga na waziri mkuu mpya Jean-michel Sama Lukonde Kyenge Jumanne hii, Aprili 27, 2021 huko Kinshasa.